Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,853 Reaction score 140,974 Mar 29, 2021 #21 kwa kweli hata pale Simba Sc hawezi kupata nafasi huyu
M Mkwekwe_mchanja Senior Member Joined Oct 16, 2020 Posts 153 Reaction score 172 Mar 30, 2021 #22 Albinoomweusi said: Tangu yuko mazembe hajawai kuwa msaada starz Click to expand... sio kweli, samatta amekuwa nyota na tegemezi kwa stars toka alipojiunga mazembe na ndo mchezaji pekee hakuwai kuachwaga na timu ya taifa.
Albinoomweusi said: Tangu yuko mazembe hajawai kuwa msaada starz Click to expand... sio kweli, samatta amekuwa nyota na tegemezi kwa stars toka alipojiunga mazembe na ndo mchezaji pekee hakuwai kuachwaga na timu ya taifa.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Mar 30, 2021 #23 Samatta zamanzake zimeshapita kama ilivyozoeleka kwa wachezaji wetu... Ni muda sasa wa kuibua wengine
Samatta zamanzake zimeshapita kama ilivyozoeleka kwa wachezaji wetu... Ni muda sasa wa kuibua wengine