Best wishes kwa mdau wangu wa pale mbagalaMshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata kwa hali na mali.
Record zao zinatofautiana sana haswa katika upachikaji wa magoli huku samata akimzidi sana Sigurdsson G kwani Sigurdsson G katika michezo 24 zilizopita amefunga magoli 8 huku samata katika mechi 24 zilizopita amefunga magoli 23 huku Europa ndogo akifunga magoli 5 kwemye mtoano huku kwenye makundi akifunga magoli 3 katika mechi nne.
i Sigurdsson G kwenye ligi ana magoli 5 akiwa ni mchezaji wa 8 kwenye topscore huku samata kwenye ligi ana magoli 8 akiwa nyuma ya kinala wa ufungaji Ivan Santin mwenye magoli 9.
Samata anashika nafasi ya 2 kwenye Europe league akiwa na magoli 3 nyuma ya muisilael Dabbur M anaechezea Salzburg ya austria mwenye magoli 5.
Hadi hapo kwa leo nimekuonyesha mwanga kuwa samata ni miongoni mwa washambuliaji hatari barani ulaya na kufunguliwa kwa dilisha dogo la usajili ulaya miongoni mwa wachezaji watakaoongelewa sana katika usajili na samata yumo. Hata hivyo Everton wanaweza wakamkosa samata kwani kuna vilabu vingi vikubwa barani ulaya vinavyomnyatia.
Yule chalii wa Chelsea game moja katia matatu afu unasemaje samata anashika nafasi ya pili?Mshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata kwa hali na mali.
Record zao zinatofautiana sana haswa katika upachikaji wa magoli huku samata akimzidi sana Sigurdsson G kwani Sigurdsson G katika michezo 24 zilizopita amefunga magoli 8 huku samata katika mechi 24 zilizopita amefunga magoli 23 huku Europa ndogo akifunga magoli 5 kwemye mtoano huku kwenye makundi akifunga magoli 3 katika mechi nne.
i Sigurdsson G kwenye ligi ana magoli 5 akiwa ni mchezaji wa 8 kwenye topscore huku samata kwenye ligi ana magoli 8 akiwa nyuma ya kinala wa ufungaji Ivan Santin mwenye magoli 9.
Samata anashika nafasi ya 2 kwenye Europe league akiwa na magoli 3 nyuma ya muisilael Dabbur M anaechezea Salzburg ya austria mwenye magoli 5.
Hadi hapo kwa leo nimekuonyesha mwanga kuwa samata ni miongoni mwa washambuliaji hatari barani ulaya na kufunguliwa kwa dilisha dogo la usajili ulaya miongoni mwa wachezaji watakaoongelewa sana katika usajili na samata yumo. Hata hivyo Everton wanaweza wakamkosa samata kwani kuna vilabu vingi vikubwa barani ulaya vinavyomnyatia.
Sasa majibu yake utapenda Niya shots hapa live au Pmok piga
Mkuu sigurdsson ni attackin midfielder na samata ni striker (goal geter) hizo ni position mbili tofauti japokua pia hucheza kma number 10.Mshambuliaji tegemezi wa club ya Everton Sigurdsson G raia wa Iceland ukimlinganisha na mshambuliaji wa club ya KRC Genk Samata M raia wa Tanzania utaona sababu kubwa ya Everton kumtaka samata kwa hali na mali.
Record zao zinatofautiana sana haswa katika upachikaji wa magoli huku samata akimzidi sana Sigurdsson G kwani Sigurdsson G katika michezo 24 zilizopita amefunga magoli 8 huku samata katika mechi 24 zilizopita amefunga magoli 23 huku Europa ndogo akifunga magoli 5 kwemye mtoano huku kwenye makundi akifunga magoli 3 katika mechi nne.
i Sigurdsson G kwenye ligi ana magoli 5 akiwa ni mchezaji wa 8 kwenye topscore huku samata kwenye ligi ana magoli 8 akiwa nyuma ya kinala wa ufungaji Ivan Santin mwenye magoli 9.
Samata anashika nafasi ya 2 kwenye Europe league akiwa na magoli 3 nyuma ya muisilael Dabbur M anaechezea Salzburg ya austria mwenye magoli 5.
Hadi hapo kwa leo nimekuonyesha mwanga kuwa samata ni miongoni mwa washambuliaji hatari barani ulaya na kufunguliwa kwa dilisha dogo la usajili ulaya miongoni mwa wachezaji watakaoongelewa sana katika usajili na samata yumo. Hata hivyo Everton wanaweza wakamkosa samata kwani kuna vilabu vingi vikubwa barani ulaya vinavyomnyatia.
kwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongozaUzalendo ni jambo la msingi
Lakini tunapaswa kuzingatia yafuatayo katika kuwafananisha wawili hao
1. Sigurdsson si namba 9 kama ilvyo kwa Samata
Sigurdsson anacheza ligi ya uingereza wakati Samata yupo ligi ya Ubelgiji (Wenye google mtanisaidia kuangalia ranking ya hizo ligi mbili)
Mwisho. Samata ana uwezo wa soka hivyo natamani pia aende kujaribiwa katika ligi ngumu ya Uingireza
Siongelei ranking ya National team, naongelea ranking ya leaguekwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongoza
Jana nilikua natazama huko kwenye international sport platform jinsi wanavyomringanisha Samatta na huyo Sigurdsson, jamaa walienda mbali zaidi mpaka nani alifuga magoli kuzidi mwenzake kwa kutumia mguu gani, vichwa n.k, wakaangalia mpaka speed ya mtu akiwa na Mpira, urefu, ugumu wa Ligi n.kUzalendo ni jambo la msingi
Lakini tunapaswa kuzingatia yafuatayo katika kuwafananisha wawili hao
1. Sigurdsson si namba 9 kama ilvyo kwa Samata
Sigurdsson anacheza ligi ya uingereza wakati Samata yupo ligi ya Ubelgiji (Wenye google mtanisaidia kuangalia ranking ya hizo ligi mbili)
Mwisho. Samata ana uwezo wa soka hivyo natamani pia aende kujaribiwa katika ligi ngumu ya Uingireza
Unasema?Yule chalii wa Chelsea game moja katia matatu afu unasemaje samata anashika nafasi ya pili?
Inaongoza Belgium lakini majority ya wachezaji wake wanacheza Englandkwani nchi gani inaongoza kwa viwango vya fifa au unataka kuniambia uingereza inaongoza