Rk10 JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,216 Reaction score 1,375 Dec 22, 2018 #1 Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji
B born in june Senior Member Joined Dec 5, 2018 Posts 168 Reaction score 338 Dec 22, 2018 #2 Hongera zake..!!
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Dec 22, 2018 #3 Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji Rk10 said: Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji Click to expand... I w
Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji Rk10 said: Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji Click to expand... I w
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Dec 22, 2018 #4 fikirikwanza said: Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji I w Click to expand... Kwani kusain mkataba mpya kunamzuia mchezaji kuondoka endapo timu nyingine ikimuitaji?
fikirikwanza said: Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji I w Click to expand... Kwani kusain mkataba mpya kunamzuia mchezaji kuondoka endapo timu nyingine ikimuitaji?
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,209 Reaction score 40,650 Dec 23, 2018 #5 Mkuu hii habari sidhani kama ni kweli
JOH CARLOS JF-Expert Member Joined May 13, 2016 Posts 579 Reaction score 270 Dec 23, 2018 #6 nishushe kituo kinachofata
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Dec 23, 2018 #7 Fikiri kwanza, unaweza kujaza mkataba na ukaondoka siku hiyo hiyo. fikirikwanza said: Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji I w Click to expand...
Fikiri kwanza, unaweza kujaza mkataba na ukaondoka siku hiyo hiyo. fikirikwanza said: Si walisema msimu ikiisha anahamia England, EPL? TZ bhana kabla hakujanoga tia maji tia maji I w Click to expand...
F Fonimu Member Joined May 20, 2018 Posts 28 Reaction score 27 Dec 23, 2018 #8 Viatu vya Samaki said: Fikiri kwanza, unaweza kujaza mkataba na ukaondoka siku hiyo hiyo. Click to expand... Kujaza mkataba na kutaka kuondoka siku hiyo hiyo yatakuwa ni masihara aisee.
Viatu vya Samaki said: Fikiri kwanza, unaweza kujaza mkataba na ukaondoka siku hiyo hiyo. Click to expand... Kujaza mkataba na kutaka kuondoka siku hiyo hiyo yatakuwa ni masihara aisee.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Dec 23, 2018 #9 Fonimu said: Kujaza mkataba na kutaka kuondoka siku hiyo hiyo yatakuwa ni masihara aisee. Click to expand... Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba?
Fonimu said: Kujaza mkataba na kutaka kuondoka siku hiyo hiyo yatakuwa ni masihara aisee. Click to expand... Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba?
Vhagar JF-Expert Member Joined Jun 8, 2015 Posts 20,773 Reaction score 40,444 Dec 23, 2018 #10 Viatu vya Samaki said: Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba? Click to expand... Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka.. Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa. Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba.
Viatu vya Samaki said: Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba? Click to expand... Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka.. Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa. Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba.
F Fonimu Member Joined May 20, 2018 Posts 28 Reaction score 27 Dec 23, 2018 #11 Viatu vya Samaki said: Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba? Click to expand... Ndiyo nilishawahi kusikia.
Viatu vya Samaki said: Uliwahi kusikia habari za kuvunja mikataba? Click to expand... Ndiyo nilishawahi kusikia.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 55,027 Dec 23, 2018 #12 Naam, iko hivyo. Timu inayokutaka inakaa na kuangalia gharama za kuvunja mkataba wako inavunja kisha mnaongea. Hata uwe na mkataba wa miaka 100 ili mradi waweze kumudu pesa inayohitajika unaenda. troublemaker said: Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka.. Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa. Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba. Click to expand...
Naam, iko hivyo. Timu inayokutaka inakaa na kuangalia gharama za kuvunja mkataba wako inavunja kisha mnaongea. Hata uwe na mkataba wa miaka 100 ili mradi waweze kumudu pesa inayohitajika unaenda. troublemaker said: Kuna vipengele timu inayokuitaji ikivifikia basi unaondoka.. Mfano labda umeweka timu ikifika bei flani basi huru kuuzwa. Yani nijuavyo timu inayokuitaji ndio inalipa gharama kukuvunjia mkataba. Click to expand...
Jerry Ekky JF-Expert Member Joined May 6, 2018 Posts 1,683 Reaction score 5,242 Dec 23, 2018 #13 Kwa mtazamo wangu naona bado yampasa aendelee kubakia Genk kwa msimu huu ili kuendelea kukua ki_soka, Labda kuanzia msimu ujao ndio aanze kufikiria kuondoka
Kwa mtazamo wangu naona bado yampasa aendelee kubakia Genk kwa msimu huu ili kuendelea kukua ki_soka, Labda kuanzia msimu ujao ndio aanze kufikiria kuondoka
popie JF-Expert Member Joined May 28, 2016 Posts 801 Reaction score 577 Dec 24, 2018 #14 Mshahara kiasi gani? Rk10 said: Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji Click to expand...
Mshahara kiasi gani? Rk10 said: Mchezaji maarufu hapa nchini ajulikanaye kama Samata a.k.a samagoal amesign mkataba mpaya ndani ya timu yake ya Genk huko ubelgiji Click to expand...