marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,113
- 1,952
Hahaha chawa wa Smatta yuleKwani shafii dauda ana jua ili unalo liongea
Samata alikuwa tatizo Aston Villa na Aston Villa ilikuwa tatizo kwa samataAston villa walitakiwa kucheza na Manchester united mechi ya kwanza kwenye ligi,
Hawakucheza kutokana na Manchester united kuongezewa muda wa mapumziko pamoja na Manchester city
Am sure kama sio kushinda basi sare wangepata ,hadi sasa hawa mabwana wameshinda mechi 4 kati ya mechi nne walizo cheza EPL msimu huu pamoja na ile walio mbomoa Liverpool goli 7.
Kikosi chao kiko very balanced ukiwaangalia flow ya mashambulizi na namna wanavyo jilinda ni dhahiri wanajambo lao msimu huu ..
Kutoka kwenye chupu chupu kushuka daraja mpaka tittle contender ni Zaidi ya mabadiriko.
Ni mapema kusema hawa Jamaa ni tittle contender ila wameanza vema sana tofauti na matarajio ya watanzania wengi tulio wa unfollow Instagram na Twitter.
Wajuba wako serious kutu onesha kua kakaetu alikua tatizo na sio Jack Grielish kumnyima pasi .
#FAHAMUSPOTI.
Well saidSamata alikuwa tatizo Aston Villa na Aston Villa ilikuwa tatizo kwa samata
ngoja ligi ichanganye ndio tutaona nani ni nani na nafasi ya kila timu itajulikanaAston villa walitakiwa kucheza na Manchester united mechi ya kwanza kwenye ligi,
Hawakucheza kutokana na Manchester united kuongezewa muda wa mapumziko pamoja na Manchester city
Am sure kama sio kushinda basi sare wangepata ,hadi sasa hawa mabwana wameshinda mechi 4 kati ya mechi nne walizo cheza EPL msimu huu pamoja na ile walio mbomoa Liverpool goli 7.
Kikosi chao kiko very balanced ukiwaangalia flow ya mashambulizi na namna wanavyo jilinda ni dhahiri wanajambo lao msimu huu ..
Kutoka kwenye chupu chupu kushuka daraja mpaka tittle contender ni Zaidi ya mabadiriko.
Ni mapema kusema hawa Jamaa ni tittle contender ila wameanza vema sana tofauti na matarajio ya watanzania wengi tulio wa unfollow Instagram na Twitter.
Wajuba wako serious kutu onesha kua kakaetu alikua tatizo na sio Jack Grielish kumnyima pasi .
#FAHAMUSPOTI.
Nyota nyema huonekana asubuhi mkuuIle nafasi kashika ya watu, baada ya mechi kumi kila timu itarudi kwenye nafasi iliyoizoea. Ni sawa na hapa Azam wanajua kabisa ile nafasi waliyopo sio ya kwao, na mwenye nafasi wanamjua kwa 100%
Wameanza vyema nadani watamaliza nafasi nzuri kuliko msimu uliopitangoja ligi ichanganye ndio tutaona nani ni nani na nafasi ya kila timu itajulikana
Yes! Aliikuta ikiwa imesha elekea kibla na ndio sababu ya yeye kuletwa pale ,akaokoe jahazi ila kashindwa,Huwezi kuwa serious mkuu, samatta aliikuta aston villa ishaelekea kibla..
Villa wamejipanga upya, hata mimibwamenishangaza, naona usajili mpya kina Barkley wameongeza kitu.. Hata sammata angekuwepo naamini angefanya vizuri kwa takwimu alizoonesha mwaka jana.
Nipe takwimu walimchezesha game ngapi, alianza ngapi, ngapi alitokea benchi, alitengenezewa nagasi ngapu alifunga ngapi, alikosa ngapi. Tupate kumuhukumu vizuri.Yes! Aliikuta ikiwa imesha elekea kibla na ndio sababu ya yeye kuletwa pale ,akaokoe jahazi ila kashindwa,
Wakina Rose Bakcley na Witkins wameenda wameikuta tuku hoi kama Samata ila wameonesha utofauti .