Ndugu yangu Appoh wewe sio mgeni wa hiyo biashara hembu weka Tangazo lako kisasa zaidi.
Mie najua kuna samaki wanafika hadi elfu Sabini kwa pair.
Sasa ungesema kwamba hao wa elfu tan0 ni aina gani,asije mtu akawa anataka KOI Fish kwa bei hiyo na wakati KOI fish bei rahisi ni elfu 25 wadogo na 50 wakubwa.
Hembu ainisha,maana kwa bei hiyo naihis ni Gold Fish,Siames,Tiger Barbs au baadhi ya aina ya Molly
Cat Fish na Angle Fish najua bei hiyo sio,wao wapo juu ziaid,Bala Shark na wao bei ipo Juu pia.
Hembu ainisha mkuu bei ya kila mmoja ili uweze kuwarahisishia wanunuaji,na hata kuwashawishi wateja wapya.