Samaki samaki Samora, itanivunjia ndoa yangu

hiv una akili kwel?jichunguze.unaharbu ndoa yako alafu unataka tukuchekee..shenziii type..kuolewa na janaume kama hili hasara Tupu..
 
Tatizo sio samaki samaki ni wewe na ukirukanjia wako.
 
Acha kujisogeza kwa shetani,mwambie "hapa ndoa tu"
 
Sasa hapo amua kipi bora kati ya samaki samaki na mkeo, jibu utakalopata kifuate hicho zaidi
 
Mke akikimbia mfate mmasai mzungu atakupa alternative. Na nnavyomwona nenda na ky kabisa!
 
Dickdinyo! Akili yako ni 0/10!. Elimu ni kipaumbele tosha*3
 
Last edited by a moderator:
NA UKIPATA HANG-OVER PHARMACY IKO HAPO HAPO... WADUDU WAKINYEMVUA....:eek2::eek2::eek2: UNAHAMIA BWENINI...
 
Unatakiwa ujifunze kupambana na mihemko yako Kama kuku na sio kulaumu Samaki Samaki...
 

Imeandikwa... "Usitamani mwanamke asiye mke wako." Acha tamaa na kuanzisha sababu zisizokuwa na msingi ambazo zinaweza kuondoa imani kwa mke wako na kubabishwa ugomvi usiokuwa na msingi. Wahi kurudi nyumbani, timiza majukumu kwa familia yako. Kumbuka uliapa nini mbele za Mungu wakati unafunga ndoa yako na siku ya mwisho utaulizwa umetekelezaje kiapo chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…