Samahani bwana harusi mtarajiwa!

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,601
Reaction score
8,711
Najua unampenda sana mchumba wako ila mchumba wako ni rafiki yangu tu wa kawaida sana na sijawahi hata kumtongoza wala kumfikiria kwamba kuna siku nitamla.

Kihistoria ni mwanamke uliempenda sana na kumfukuzia kwa muda mrefu japo yeye hakuelewi ila baada ya kumtangazia ndoa umefanikiwa kumnasa.

Kiufupi baada ya kumpa mchango wa sendoff kaamua kunitunukia na tunda kama shukran kwangu [emoji39][emoji39].

Na mimi kutokana na kupewa tunda kwa heshima na msisitizo nimeshindwa kulikataa kwa sababu limeandaliwa vizuri na linavutia kwa walaji si bora nilile tu, usihofu silimalizi ila nitalitafuna haswa kila pembe.

Kesho hiyo saa nne ndio muda niliotengewa kulimega tunda la bwana harusi wa watu.

NB
1. Najijua kama ni mme wa mtu so msijichoshe kunionya.
2. Najua kuwa kuna magonjwa cos nimezaliwa nimeyakuta na nipo salama hadi leo na mbususu nachakata.
3. Najua kuna karma kwamba mtasema mke wangu nae atamegwa sikatai siwezi panda alizeti nitegemee kuvuna mbaazi.
4. Najua kuwa ni dhambi ila tulizaliwa katika hali ya uzambi so jitulize.
5. Mtasema nitafilisika ila nawakumbusha kuwa pia kazi nafanya sana.

Kubwa kuliko mwanaume tafuta hela na ujipende na saidia watu wenye uhitaji maalum.

Wanawake ni wengi mno!
 
Wanawake Ni Wengi/
Ukianza Huwamalizi/
Ulisahau Kuwa Visima Vingi Na Maji Ni Yale Yale/.....
DIZASTA VINA-HATIA III
 
Unahatarisha maisha ya wanaotarajia kufunga ndoa 😅😅😅
 
Kuna njemba inayotarajia kuoa kesho saa 4 atakuwa busy kumuwinda mchumba 'ake.
 
Hizo ni faraja za kipigo Cha Morocco mtumbwi wa vibwengo hauna vitisho zaidi Kuyumba ila mzigo unafika kama kawaida kama kawaa.
 
mara huwezi fikiria utamla mara utamla mbona hueleweki Mkuu? hiyo kesho saa nne ubebe na kilainishi unaweza kukuta mambo mnyumbuliko kama yaliyomkuta mmonyoko usiku huu. Kila la Kheri kwa uchakataji hiyo kesho, nimeona nichangie kabisa maana kesho ntakuwa ktk ibada maalum sitoweza changia post za namna hii wala kuzipia. Umemaliza kwa kusema tytafte hela hiyo ni kweli mdau hapo kwenye hela ni kipengele, So hiyo saa nnne wakati sisi umetutuma kutafta hela wewe utakuwa kwenye mchakato ukichakata kitu kilichoandaliwa vizuri kwa ajili ya kuliwa. Aisee! Kongole Mkuu
 
Hakuna maajabu...

Watu wanamega na kumegwa ndoani, sembuse huyo kwenye uchumba...
 
Weee

 
ulikuwa huna haja ya kuyasema hayo hapa wewe ungekuka kimta kama ambavyo mkeo analiwa kimyakimya
 
Ujiandae kabisa kuja na KY, umewekewa mtego [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…