Naitwa Njikale Madai, ni kijana wa kiume mkazi wa Mabibo Dar Es Salaam, miaka 23, elimu yangu kidato cha nne na tafuta nafasi ya kazi uhudumu wa sheli au supermarkets maeneo ya kazi yawe kati ya Dodoma au Dar Es Salaam alie serious na uhitaji na mtu wa kazi hizo awasiliane na mimi +255 713 520 204 | +255 625 654 637