Saloni ya kike inauzwa

Farudume12

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
621
Reaction score
352
Salon yakike iliyopo Sinza inauzwa, ikiwa na kila kitu ndani, sababu zakuuza, Mmiliki ameamua kurudi kwao Congo DRC, Maana Magufuli hataki tena wageni.

Sifa za saloni, inakila kitu, namaanisha mazaga zaga yote kama vitendea kazi, alafu salon ipo zaidi ya miaka 5, yaani atakae chukua haji kuanza biashara, biashara anaikuta tayari ipo. Yeye anafika kuendelesha. Kwamwenye kuitaji anaweza akani PM.

Bei inataka milioni 6, imejumlishwa na kodi ya miezi 6 ya frem.

Karibuni.
 
Magufuli hataki wageni?
Kuna namna hapa, ngoja kwanza nitarudi badae kidogo
 
Huu ni Uzushi, Mzee wa Tingatinga anawataka Wageni wafuate taratibu sio kuishi kinyemela.
 
Ni pm namba yako mkuu
 

Weka picha mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…