Mkuuu Punguza Makasiriko, lkn wewe pia siyo Mwanasimba kwa Maombi yako kwamba Mnyama anakuja kufungwa kwa Mkapa endelea kukata Majani ulishe Mifugo yenu huko Utopwinyo.Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo....
Kuusema ukweli haimfanyi mtu kutokuwa shabiki wa Simba,,.Mkuuu Punguza Makasiriko, lkn wewe pia siyo Mwanasimba kwa Maombi yako kwamba Mnyama anakuja kufungwa kwa Mkapa endelea kukata Majani ulishe Mifugo yenu huko Utopwinyo...
jinsi ulivyo boya unadhani tumetolewa siyo? hao asec si walikula tatu hapa mkapa? mbona kama mmestuka simba kufungwa? hamkutarajia siyo?Ila mashabiki wa Simba ni takataka, wahuni wahuni tu kwahiyo mlitaka simba wa shinde kwa wachazaji hawa wabovu?
Kwa akili zako unadhani simba hii sawa na ile iliyocheza club bigwa miaka ya nyuma? Halafu nyie nyie ndio mnatakaa matokeo mazuri? Sema nyie mashabiki wa simba akili zenu mnazijua wenyewe watu wa low capacity thinkingjinsi ulivyo boya unadhani tumetolewa siyo? hao asec si walikula tatu hapa mkapa? mbona kama mmestuka simba kufungwa? hamkutarajia siyo?
angalia hawa wahuni mara ya mwisho kuingia makundi utopolo waliofanya, teams zenyewe Gor mahia na Raon unashindwa kushika hata nafasi ya pili
View attachment 2159715
Natamani Hans pope arudi hata dakika 20 aine simba
Lwanga inMugalu out
Kagere out
Wawa out
Lwanga out
Si rahis kuwapata hao. pia watu hawafaham madhara ya propaganda anazofanya boss wetu Mo kuwa Simba ni tajir Africa.Lwanga in
Morrrison Out.
Mudi amchukue mmojawapo Kati ya Hawa.
Aziz Ki,Adebayo wa USGN(Japo Ni mbahili na kuwang'oa hao nyota Ni shughuli).Tunahitaji mchezaji wa kuanza kwny mechi na si aina ya kina Morison,Benchi sana pesa ndefu
Ufalme wa Simba umefitinika, mnagombana wenyewe kwa wenyewe.Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo....
ile si ilikuwa inapulizia sumu vyumbani au?Kwa akili zako unadhani simba hii sawa na ile iliyocheza club bigwa miaka ya nyuma? Halafu nyie nyie ndio mnatakaa matokeo mazuri? Sema nyie mashabiki wa simba akili zenu mnazijua wenyewe watu wa low capacity thinking
utopolo aisee mnafurahisha sana , saa tatu usiku tarehe 3/4 tukutane hapa tenaUfalme wa Simba umefitinika, mnagombana wenyewe kwa wenyewe.
Wawa ni 51 yrs sasa, Onyango 52, Kagere 48. Mnategemea nini?
Hiyo sio timu ya mpira ila ni timu ya makumbusho ya vipaji vya mpira
Wewe ni kibwengo cha ManaraSiku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi ya Asec kilianzia hapo.
Twende taratibu.
Kwa mujibu wa KANUNI za TFF kila Klabu nchini inaruhusiwa kusajili Wachezaji wa kigeni si zaidi ya 12.
Pale Simba tayari kuna maproo 12 ,, nakutajia Chama, Bwalya , Lwanga, Sakho, Kanoute, Wawa, Kagere, Morrison, Onyango, Inonga, Mugalu na Peter Banda.
Kwa maana hiyo ili Simba iweze kusajili maproo wengine wanne italazimika kuwafuta kazi maproo wanne ambao wapo kikosini Kwa sasa. Tim Inaelekea kwenye mechi ngum na muhim then unatoa maneno Kama haya Kwa malengo gani?
Watu wanapambana uwanjani lakin uongoz umetoa ahadi ya kuwafuta kazi Wachezaji wanne wa kigeni mwisho wa msimu. Hii ni nini kisaikolojia Kama si kuwaweka Wachezaji kwenye presha isiyo na msingi wowote?
Nabet Simba anakwenda kuadhibiwa na USGN pale pale kwa Mkapa na kufurushwa mashindanoni.
Tangu kifo cha Comred Hans Poppe ilisemwa pale Simba hakuna tena mwenye uwezo wa kuisogeza timu mbele. Waliowengi walikuwa wanaishi kwenye kivuli cha Hans Poppe.