Hizi ndio kazi za aina ya;
Nunua mbili kwa bei ya bidhaa moja.
Wale wanavaa tai wanapita maofisini.
Nimekumbuka hii, nimecheka saana. Mie niliwahi kuona kajitangazo kama haka, nikaenda ofisini wakaniuliza qualification zako zikoje nikwaambia, wakaniambia wewe ondoka. Wale wengine wakaambiwa kesho yake waende kuanza kazi na barua kutoka kwa ofisi ya serikali ya Mtaa, mdhamini na picha na waje na Tai wamependeza kuanza kazi. Kufika, wakapigwa kitrain fulani hivi, ghafla wanagawiwa thermos kwenda kuuza. Duh!!!!!!!!!!!!!