Join Date: Tue 22nd Dec 2009 Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Naona umekuja kutafuta sample 'Resume/CV' au kama vipi inawezekana unakusanya 'data' afu uanze kupigia simu watu na ije kuwa yale yale ya matapeli wa Dar...
Huu mchezo ni mchafu sana kwani wameshatokea watu kama wewe wanaomba watu watume CV/Resume na watu wanatuma lakini hawapati hata 'feedback' kama CV zao zimepokelewa na hata majibu kwamba ametemwa kuhusu kazi...
Ushindwe na ulegee....