Mh, kwa sisi tuliokimbia umande ukiniambia ku-cannibalize computer hata sielewi unamaanisha nn!!!! Hizo makitu naona ziko extremely old!!!! Mimi nina chumba kizima kimejaa hayo madude nimekosa njia sahihi ya kuyadispose; nadhani ni wakati muafaka serikali ikawabana watengenezaji wa haya mavitu wawe wanachukua madudu yao yanapomaliza muda wake wakayachemshe supu au wayachome mishkaki watajua wao! Nilikuwa sijakuamkua Mkuu, SALAMA KAKA? Salmia shemeji na wajukuu!