Salamu kwa Wanzanzibar


Sikia ww ninaamin hujasoma na elimu yako ni ndogo,km mnamaanisha kuvunja muungano ,ondoken kabisa na huku,mm nawashanga sn nyie kutwa kulalamika lkn kutwa mpo bara sasa mnafanya NN,ondoken wote huku then uhuru wenu mkadaie huko kwenu.kwann mnadai uhuru then bado mpo huku,rudien kwenu wote,angalia idad ya wazenj waliokua huku na idad ya wabara waliokua huko,kongolo we
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi.Fukuza kabisa kenge hao wakajiunge na somalia.
 
Sio wapemba tu wanatumia fursa halali ya muungano. Wamasai wamejaa zanzibar na wapo huru na wana enjoy zaidi life kuliko wakiwaoo kwao tanganyika
Watu watanganyika ccm wanawataja wapemba kwa husda na kuwa tutafukuzana ikija tanganyika.. mbona hawa wammejaa znz na hawaja kuwa single out na wanasiasa wa bara mfano wa wale wa vitunguu alo waona kikwete.
Hivi watu watanganyika hawapendi kuona nayo znz inapiga hatua?
Bila ya shaka wengi wanapenda..kwahio hatua hio haiwezi kupatikana ndani ya mfumo wa sasa wa muungano
 

W.salaam tumezipata salamu, tunahitaji na nyie mjitokeze, sie tupo tayari tukutane jumuiya ya afrika mashariki lakini nyie mnatuangusha, vipi mmeparalise? Mana hatuoni juhudi yoyote kutoka kwenu, kuwaamsha tumewaamsha pia tuwakogeshe ama?
 
Last edited by a moderator:

Unaumwa? Usitupe ngumi hewani mshazoea kutawaliwa na.masultani wa CCM subirini wawadai minikabang 0713 sasa ndiyo ilobaki mtajuwa muungano muungano kwani ndio Mungu?
 
Unaumwa? Usitupe ngumi hewani mshazoea kutawaliwa na.masultani wa CCM subirini wawadai minikabang 0713 sasa ndiyo ilobaki mtajuwa muungano muungano kwani ndio Mungu?

Kwann mnangangania kwetu??km kwel mngekua mnamaanisha bas asingekuja hata mmoja huku lkn sku hiz mmejazana had vijijin huko mnauza ice cream kwan zenji ice cream haziuzik????ha hahhhhhhhha mnapima nyie hammaanish,km kwel mnamaaanishamwa zenji wote mngeanza kuhamisha vtu ,na mshafulia mana mkitaka kuhama msisahau kuchukua na watto zetu tulozaa na dada zenu,muwabebe nao mkawalee
 

Kwanini tusije kwani zile kambi za kijeshi mlivyojazana pale mnafanya nini?

Msijali watoto wetu wote tutawachukuwa mpaka wale mnaowasukuma uvunguni mlio na mashaka nao. Kama mnaona shida tunazowaletea kula ice cream njooni Malindi tutawapa cone mlambe. Na sisi sio kama nyinyi wale akina Dula Masai pale mji mkongwe hawatuwafukuzi tumewazoea wanafanya kazi nzuri kutuvutia watalii si unajuwa Italians kwa mini kabang 071 teh teh.
 

Kwanza ww si m znz ni mmalawi ww kama rais wako karume,umehamia tu ww hapo kisha ukajiita mtanzania,chunguza asil yako vzur ww
 
umeeleweka mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ww si m znz ni mmalawi ww kama rais wako karume,umehamia tu ww hapo kisha ukajiita mtanzania,chunguza asil yako vzur ww

Mimi mimi si mtanzania hapo umepatia sana, mimi ni Mzanzibari kuliko wewe mkimbizi wa Burundi unasubiri operation Kimbunga badala ya kwenda kwenu unajiita Mtanzania nchi iliyokuwa ni ya Kusadikika? Nenda kwenu ukalime mawese!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…