twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
Nani kakwambia?Watanganyika wote wanaitaka Tanganyika yao na itarudi tu kwa nguvu ya umma.Kwaiyo ndugu zetu mjiandae kisaikolojia.Mbona hilo sio shida, ila wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma ama sivyo nguvu ya dola itatumika.
Ina elekea hujui chochote kuhusu watanzania(watanganyika) na inawezekana unawafananisha watanganyika na wana CCM!Watanganyika hawaupendi,hawautaki,na wala hawana maslahi nao huu muungano,unawakera ukiwepo ,hauwadhuru usipokuwepo!Mbona hilo sio shida, ila wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma ama sivyo nguvu ya dola itatumika.
Nani kakwambia?Watanganyika wote wanaitaka Tanganyika yao na itarudi tu kwa nguvu ya umma.Kwaiyo ndugu zetu mjiandae kisaikolojia.
Ina elekea hujui chochote kuhusu watanzania(watanganyika) na inawezekana unawafananisha watanganyika na wana CCM!Watanganyika hawaupendi,hawautaki,na wala hawana maslahi nao huu muungano,unawakera ukiwepo ,hauwadhuru usipokuwepo!
ni hii miccm ya bara na visiwani ndio inatuvuruga!
Hey !i am not party cat! so please dont M4C me! ila nakubaliana na the rest of hoja zako!mashirikiano,kuheshimiana na yalee makutano pendwa EAC,SADC or AU! kwa kukusaidia mimi ni chotara wa muungano ,baba upande mmoja mama upande mwingine ,the only victim katika hizi sarakasi!Najuwa vizuri kama wako watanganyika halisia wanaoitaka Tanganyika yao na wanathamini Zanzibar, lakini nyinyi wana M4C hamko wakweli na mkipata madaraka mtafanyaia Wazanzibari mabaya zaidi kuliko hao CCM.
Na tunawasikia kauli zenu hapa JF na kule Dodoma sisi tunawasikia ndio wakwanza mnataka Zanzibar ifute katiba yake na ifutwe hata katika ramani ya dunia kama nchi. Hamuwezi kuipata Tanganyika bila ya kuitambua Zanzibar kama nchi.
Mbona na 'wingi' wenu mnaoitaka Tanganyika mumeshindwa kuizuia CCM isifanye inavyotaka ndani ya Bunge la Katiba?
Shirikianeni na Wazanzibari na muwaheshimu na matarajio yao, ili zipatikane nchi zetu mbili na hapo baadae kama kukutana EAC, SADC or AU.
Mbona hilo sio shida, ila
wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma
ama sivyo nguvu ya dola itatumika.
hata muungano ukivunjika jina letu cc wa bara linabak hilihili Tanzania haijalish asil yake. Tutajiita JAMHURI YA WATU WA TANZANIA BARA TU.
Nani kakwambia?Watanganyika wote wanaitaka Tanganyika yao na itarudi tu kwa nguvu ya umma.Kwaiyo ndugu zetu mjiandae kisaikolojia.
Hey !i am not party cat! so please dont M4C me! ila nakubaliana na the rest of hoja zako!mashirikiano,kuheshimiana na yalee makutano pendwa EAC,SADC or AU! kwa kukusaidia mimi ni chotara wa muungano ,baba upande mmoja mama upande mwingine ,the only victim katika hizi sarakasi!
Na wewe na wapemba wenzio.Labda wewe na wachaga wenzio
Very true bro ,we have a choice!Wewe Chotara wa Muungano mimi ni chotara wa EAC but Zanzibar is where I was born and grew up and I am not a victim bcz I have a choice.
Mbona hilo sio shida, ila wa Tanzania bara hawaitaki Tanganyika so wanashikilia tukutane Dodoma ama sivyo nguvu ya dola itatumika.
Na wewe na wapemba wenzio.Labda wewe na wachaga wenzio
mbishi,Weka kauil vzur ww nan kasema watanganyika hawaitak tanganyika??? 99% ya watanganyika wanaitaka tanganyika na umeona hata kwa maandsh ya warioba,tatzo n viongoz wachache ambao hawataki kuvunja kwa maslaha ya chama,lkn raia km raia hawautak muungano,kwanza muungano wa NN kwa watanganyika??znz haina chochote cha kufamya mtanganyika aipende znz kwa maslah,wa znz wote wametawanyika bara na kufanya biashara,mm Leo hata nkienda znz ntafanya biashara gan??hakuna mzunguko wa pesa na ndomana raia hawautak muungano hata kuusikia chunguza vzur km unataka ukweli,kikwete anaulinda muungano kwa maslah yao na siyo ya raia,wa znz wanaamin kua watapata misaada ya waarabu wakijitenge,izo n akil mbovu,znz sio nchi ya kiarabu wala hawazungumz kiarabu!hakuna nchi itakayosaidia nchi bila manufaa,sudan,chad na nyingnezo ni nchi znazowaislam na znazungumza had kiarabu lkn angalia hal zao,nyie znz mnapja swahil100%,kwanza wa znz halis(weus) Hali Yao ni ngumu kimaisha na hao wa znz wakiarabu weng wao wanajiita wapemba si kwel wanajiita ivo il wapate acces ya biashara zao na weng maisha yao n mazur,lkn znz halis hana Hali na hata kuoa izo koo za waarabu hawawez wala kuru husiwa ,wanaoana wao kwa wao na waarabu kW waarabu,shule muhmu sana bora kufa maskin kuliko kutokua na elim,muungano uvunjwe na mtoke huku mkalundkane kwenu kisha w znz halis muanze kubaguliwa na waarabu wahamiaji wanaojiita wapemba