Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,938
- 2,081
Hawa jamaa ni wahuni sana kwanza wanalock up yao ndani kwa ndani na wateja wao wakubwa ni wakina mama utashangaa mwanamama anarudi saa 6 usiku anakwambia nilikuwa jela ya zanzibar suppy tangu saa 3 asubuhi nilikuwa sijamalizia deni elfu 50 doh! Nchii ni hatari! Mwisho wa siku wanaichenga serikali kwenye kodi.Yapo maduka hapo dodoma yanajiita general supply ukichunguza kiundani hizo ni benki bubu hazilipi kodi nendeni mkakusanye kodi tena za miaka mingi tumuunge mkono mh rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mh magufuri,kwa kumuunga mkono mr president nitawaelekeza duka moja linaitwa NEW ZANZIBAR GENERAl SUPPLY hawa ndugu wanabenki bubu ndani ya duka lao ila wanakupa masharti kwamba kama tra watatokea ghafra na kuhoji useme umekopeshwa chombo mfano tv meza nk lakini kiukweli wanakopesha fedha kwa riba kubwa mno
Uchawi wa kibiashara, ni kujipanga vizuri acha kutoa povu, TRA DODOMA tunamjua huyo ni mlipaji mzuri wa kodi za nchi hii...haya nenda kalale...!
Tena unaacha mpaka namba za siri.tena wana atm za wateja kibao ofsin kwao.jifanye mteja ili uwafaidi