Kim Jo Ngil
Member
- Jan 3, 2014
- 45
- 17
Ndugu inamaana wewe bado unaimani na serekali hii ya ccm
Mbona ni wezi wa mchana
Unaongelea heshima!!!!?????
Kabisa unaulizia heshima!!????
Yaani unategemea heshima!!!????
Haya bhana..................
Vipi mkuu asitegemee kitu kama hicho?