MWAKATA KWETU JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 560 Reaction score 320 Oct 26, 2018 #1 Msaka dhidi ya wafanyabiashara wanaopunguza kilo kwenye mifuko enye kilo 25 na kupunguza 22 Kg... Je sheria inasemaje?
Msaka dhidi ya wafanyabiashara wanaopunguza kilo kwenye mifuko enye kilo 25 na kupunguza 22 Kg... Je sheria inasemaje?
W wogakuria JF-Expert Member Joined Aug 15, 2018 Posts 743 Reaction score 1,224 Oct 26, 2018 #2 MWAKATA KWETU said: Msaka dhidi ya wafanyabiashara wanaopunguza kilo kwenye mifuko enye kilo 25 na kupunguza 22 Kg... Je sheria inasemaje? Click to expand... HEBU RUDIA KUSOMA ULICHOANDIKA KAMA WEWE MWENYEWE UTAELEWA
MWAKATA KWETU said: Msaka dhidi ya wafanyabiashara wanaopunguza kilo kwenye mifuko enye kilo 25 na kupunguza 22 Kg... Je sheria inasemaje? Click to expand... HEBU RUDIA KUSOMA ULICHOANDIKA KAMA WEWE MWENYEWE UTAELEWA
idawa JF-Expert Member Joined Jan 20, 2012 Posts 25,308 Reaction score 38,526 Oct 26, 2018 #3 Sio sukari tu hata Unga, sabuni za unga na mafuta ya kupikia.
britanicca Platinum Member Joined May 20, 2015 Posts 18,286 Reaction score 49,229 Oct 26, 2018 #4 idawa said: Sio sukari tu hata Unga, sabuni za unga na mafuta ya kupikia. Click to expand... Tanzania kila kitu hovyo kwanini
idawa said: Sio sukari tu hata Unga, sabuni za unga na mafuta ya kupikia. Click to expand... Tanzania kila kitu hovyo kwanini
nyamatala. JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 266 Reaction score 134 Oct 26, 2018 #5 Ni msako. wogakuria said: HEBU RUDIA KUSOMA ULICHOANDIKA KAMA WEWE MWENYEWE UTAELEWA Click to expand...
Ni msako. wogakuria said: HEBU RUDIA KUSOMA ULICHOANDIKA KAMA WEWE MWENYEWE UTAELEWA Click to expand...
M Masanja Maguzu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2018 Posts 547 Reaction score 396 Oct 26, 2018 #6 britanicca said: Tanzania kila kitu ovyo kwanini Click to expand... Kwa sababu wewe ni wa hovyo