Nimeangalia taarifa ya habari leo saa mbili ucku. Nimestushwa na kilichotokea. Ni kwamba marehemu alikuwa anatumia kadi ya mtu mwingine ambae ni member wa nhif. Mtumishi wa nhif anaongea tena kwa jazba kuwa maiti haitatoka hadi mwenye kadi atokee. Hv ana akili timamu? Nyie nhif ni daladala inayochukua abiria isio na abc zao? Huyo member hana mwajiri? Kwa nn msiende kumpata kwa mwajiri! Hii ni changamoto kwenu pia. Mbona atm card haxigushiwi? Hali kadhalika driving licence na passport? Basi muajiri watu wenu kwa ajili ya security. Hivi ktk mkataba wenu na members kuna sehemu mmebainisha kuwa mtataifisha mgonjwa au maiti pindi pakiwa udanganyifu? Baba naona umeibiwa na ww mwenyewe ukawa hakimu. Utazika mwenyewe asipojitokeza? Pia unapenda sn media we mwamoto. Na kuna siku nimekusikia unapayuka clouds kwa ishu ambayo ni ya members nchi nzima. Hv kijijini kwenu au wilaya unayotoka clouds inasikika? Kasome communication skills na acha kukurupuka. Ht la leo hikupaswa kuzungumza wewe.
Big up NHIF, watanzania tu ache kupenda wizi, kila mahali wizi toka juu hadi chini, ndo Maana NCHI haina Baraka hii pamoja na Mali asili tulizojaliwa, TBADILIKE TUACHE WIZI
Big up NHIF, watanzania tu ache kupenda wizi, kila mahali wizi toka juu hadi chini, ndo Maana NCHI haina Baraka hii pamoja na Mali asili tulizojaliwa, TBADILIKE TUACHE WIZI
Kwani wamesema hiyo kadi imeibwa???ni makubaliano ya mgonjwa na mwenye kadi hapo mara ngapi unanda hosp unakuta umebeba kadi ya wife badala ya kwako na wanakata tu hela zao???
Kama kadi imeibwa kwa huyo wanaweza sema!kilichotakiwa kifanyike najua kila kampuni au shirika wanarekodi za hao member wameshindwa nn kumfatilia huko mpk wazuie maiti????
Mkubwa Bijou wizi na udanganyifu popote pale upo hata kwenye ikulu ya Obama upo kaka ww kuwa mpole kwa mfano angekuwa ni ndugu yako je????
Hivi kwani hiyo kadi ni fake ama? if not sidhani kama kuna wizi hapo.
Kama huyo mgonjwa alikuwa anamhusu mwanachama wao ambaye anakatwa mshahara wake kila mwezi na yeye binafsi hajaugua na hana pesa mfukoni kuna ubaya gani kuitumia haki yake halali kumhudumia nduguye?
Haya mambo tunayafanya sana huku duniani, coz siwezi kwenda kukopa kwa jirani ili nigharamie matibabu ya ndugu yangu ilhali kuna pesa yangu NHIF , ambayo ninaweza kuitumia.
approach waliyotumia sijaikubali ila huwezi tumia kadi ya mtu mwingine its fraud kama hutaki shida mkatie na huyo nduguyo. tusitetee wizi coz wengi wanafanya
Nikweli ametia aibu mpaka povu
linamtoka vile jamani!maiti itamsaidia ninı badala yakumfuatilia mteja
wake kwa employers wake?The guy seems to like being seen on tv,amekosa
utu.
Hivi unaweza kuwakatia watu wa ukoo wako wote?
Alafu situmii pesa ya mtu mwingine ni ya kwangu......SI DHANI KAMA MTU ANAYETUMIA CHA KWAKE NI MWIZI!
Hivi unaweza kuwakatia watu wa ukoo wako wote?
Alafu situmii pesa ya mtu mwingine ni ya kwangu......SI DHANI KAMA MTU ANAYETUMIA CHA KWAKE NI MWIZI!
ndo maana wakati wa kuandikisha kadi uliweka wategemezi ambao wanapata huduma. watu nje ya hapo hawahusiki na ukikamatwa ni fraud. google kuhusu medical insurance fraud ujue
hawa ndio wanao fanyakazi kwa kutumia vyeti vya watu. mtu gani hawezi changanua mambo? afukuzwe kazi kabisa hana maana.Amechemka sana sio kidogo, mi ninahisi sio Mtz,hata mi nimejiuliza maswali mengi kama hayo,kubwa zaidi huyo Membar wao hana Kampuni au shirikia analofanyia kazi wakamfuata huko? Mpaka wamdhalilishe Marehemu? Aibu tupu, au alitaka aonekane kiooni?