Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 36,228
- 60,546
Mwezi kama huu Mwezi Julai, pangekuwa Patashika Nguo Kuchanika.
Kwa mliokuwa hai mwaka 2015 na 2020, harakati za uchaguzi zilioesha shamla shamla kiasi kwamba wananchi wanasahau shida zao angalau kwa kipindi kifupi.
Mpaka inafika julai kila.mwananchi ameshatafuta kichinjio, kiparata au kitambulisho cha kupigia kura. Wengine hadi tunavisafiri umbali mrefu.
Nimezunguma mikoa ya kaskazini, kanda ya ziwa, kanda ya kati na Pwani kiukweli wananchi hawaonekani kuwa na Mwamko ule ule unaokuwepo wakati wa Mwaka wa Uchaguzi.
Kwa ujumla Public Psychology inaonesha kuna Depression au sonona ya Chaguzi zijazo. Zimekosa Mvuto, Ukimya umezidi.
Wewe huko uliko hali ikoje?