Hapana yupo bongo hata Jana alicheza mechi ya kirafiki na jkt.Mkuu mpka sasa huyo jamaa yupo Bujumbura
Ooh kumbeHapana yupo bongo hata Jana alicheza mechi ya kirafiki na jkt.
Laana ya Mzee mwambusi inamtafuna yaani Mzee mwambusi angekuwa Baba yangu HUyo jamaa ningemsaka aeleze kwanini kamdharau vile Mzee wangu
Si kweli yule ni tabia yake tu hawezi badilika sema amekutana na kocha asiyeletewa upuuzi. Dirisha dogo asepe HUKO kwao non nation tozo. Yaani nimetokea kumchukia Sana Yule jamaa toka alipomtusi mwambusi Bora amtusi watu tuone anayo mengi ya maana kwenye timu na tuone pengo lake hakuna lolote.
VizUri mi nakuelewa haya hebu angalia mchango WA kaseke msimu uliopita kwenye MECHI zote alizocheza angalia kuanzia magoli, struggle uwanjani NK, Kisha hamia Kwa saido Naye uangalie magoli na struggle zake uwanjani.mkuu saido ila sio mchezaj mbaya,labda tu kasoro kama hzo za dharau ila yupo vzr , angalia game za mwaka jana kama za dodoma jiji, game ile ya jkt na hata za national team unaweza ona he is good.
kwahyo mzee unataka kusema saido sio mchezaj anaweza saidia yanga kwa sasa?VizUri mi nakuelewa haya hebu angalia mchango WA kaseke msimu uliopita kwenye MECHI zote alizocheza angalia kuanzia magoli, struggle uwanjani NK, Kisha hamia Kwa saido Naye uangalie magoli na struggle zake uwanjani. Kisha ukae utafakari je Nani Bora Mambo ya timu ya taifa hayo huwà hayaeleweki Kwani HATA Messi aliwahi kuwa na tuhuma za kutofanya vema timu ya taifa. Namaanisha saido NI mpuuzi anayetaka umwamba kwenye timu ya yanga kama anavyowatawala wenzie Huko timu ya taifa wakati huku yanga hana jipya wachezaji wengi WA ndani hapa bongo wanamzidi Kwa kila kitu uwanjani.
Boko,Nyoni,Kapombe na Dilunga aliyecheza Yanga 2013 bdo wadogo.Kolo ww kina onyango, wawa,nyoni,kagere,bocco,mkude,
wale si wazeeee??
Huo ndiyO UkWeli mchungu ambao HATA saido hataki kuukubali na wale mashabiki wake hawautaki. Hata Nabi alishasema Hana mipango Naye kwasasa. Tff kanuni znasema mwisho wachezaji nane WA kigeni walioko benchi na ndani unadhani saido Amuweke Nani jukwaani kwasasa wakati mpaka mukoko anakaa jukwaani. Watu wanapiga kelele kwamba yacouba ampishe saido sjui Kwa lipi SAido hawezi kukaba, Hana mbiyo, mwepesi kukata upepo Tofauti kabisa na yacouba na mpira WA sasa unataka mpaka striker namba Tisa akabe hukohuko kwenye nafasi yake. Hana cha maana amalize mkataba wake aende Huko akawatoe akili warundi wenzie.kwahyo mzee unataka kusema saido sio mchezaj anaweza saidia yanga kwa sasa?
Mimi nachoelewa katika wachezaji wa Sasa wanaocheza Bongo,Saido ndie mwenye ukwasi/mafanikio kifedha makubwa kuliko mwengine. Na ukichangia na umri wake kua mkubwa basi ndio chanzo Cha dharau aliyo nayo.Wakuu Mmebarikiwa Sana na Mungu wa mbinguni hakuna laana.
huyu jamaa aitwaye saido NTIBANZOKIZA aliletwa na yanga akitokea huko kwao Burundi BAADA ya kumaliza kucheza soka ulaya.
Wakati anakuja Sisi mashabiki tulimpa sifa zote ukizngatia huwa anafanya vema kwenye timu yake ya Taifa.
huyu jamaa binafsi nilianza kumuona ni WA ajabu ajabu siku Ile ametokea benchi KOCHA akiwa mwambusi BAADA ya kufunga goal akiomba kutoka huku akimuonyeshea KOCHA ishara ya kwamba KOCHA hatumii akili maana yake Mzee mwambusi Hana akili kama haikutosha alionekana kama anamkejeri na kaseke kisa Tu kaseke anaanza first eleven.
imekuja kugundulika huyu jamaa NI ana kiburi na dharau si Kwa KOCHA Tu Bali mpaka Kwa wachezaji wenzie anawaona hawajui kitu na ni makapuku na hakuna WA kumuweka benchi.
saido huyuhuyu msimu uliopita tulikuwa Naye hakuna cha maana alifanya na mara nyingi alikuwa anatokea benchi Kwa kifupi toka ametua yanga kikubwa bnafsi ninachokikumbuka ni kitendo cha KUMTOA akili Mzee mwambusi.
UWANJANI hakuna makubwa amewahifanya yanga hata ukimuweka hapo na kaseke bado kaseke kafanya makubwa kuliko saido.
huwa nawashangaa mashabiki wanaolalamika kuhusu huyu jamaa kuwekwa nje na Nabi as if wao wanajua Sana kuliko KOCHA mnadhani KOCHA ye hapendi timu yake ishinde atengeneze CV yake anawezaje kumuweka benchi saido ikiwa ye ndo anaweza kuamua MATOKEO jibu NI kwamba uwezo WA saido ni kwasasa kulinganisha na wachezaji wanaomiweka benchi Hana uwezo WA kumuweka benchi moloko wala feitoto wala yacouba wala Farid huo uwezo Hana na hapo sjamtaka kaseke.
saIdo kukaba hawezi anakata Moto mapema Sana mechi ngumu Hana msaada wowote ule uwanjani na ndo alikuwaga anaanzishiwa benchi.
Utamskia mjinga mmoja anasema moloko akae benchi au yacouba akae benchi ampishe saido Sjui Kwa lipi hasa alilonalo saido.
nategemea msimu huu mkataba wake ukiisha anapewa mkono WA kwaheri wanaomtaka waambatane Naye Burundi huko kusiko na tozo za mwigulu.
NAkaribisha povu na MAONI.