Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
toka kushoto mbele;rais wa zanzibar dk. Ali mohamed shein,makamu wa rais serikali ya muungano dk. Mohamed ghalib bilali,waziri mkuu mizengo kayanda peter pinda,na makamu wa kwanza wa rais wa zanzibar,mh. Seif shariff hamad.kushoto nyuma;jaji mkuu mh. Augustino ramadhani,spika wa bunge la jamhuri ya muungano, mh anne makinda,makamu wa pili wa rais wa zanzibar mh. Iddi seif,mwanasheria mkuu wa serikali ya jamhuri ya muungano,jaji frederick werema na katibu mkuu kiongozi,mh. Philemon luhanjo.
Mbona hakuna mambo ya dini? Kitu hapa sawa kwa sawa?
kwa hiyo mkuu unaposema hiyo ni safu ya ugombozi, unaaamanisha kwamba watanzania wanahitaji kukombelwa.
1. Swali; kama watanzania wanataka kukombolewa je ni nani aliyewafanya mateka hadi wahitaji mkombozi?
2. Kama kwa miaka hamsini tanzania inaongozwa na ccm haya wakombozi hao wanatoka wapi?
3. Anaehubiri udini ni mwenyekiti wa ccm, muulizeni swali hilo, yeye anayatowa wapi ya udini?
Tanzania ya leo si pepo ya mabwege.
uko sahihi sana mkuu!....Seif kawaacha solemba wana CUF.
Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.
Mbona hakuna mambo ya dini? kitu hapa sawa kwa sawa?

CCM wametangaza ilani yao ya 2015. Baada ya kuona maji yanafika shingoni wanaona salama yao ni kuwatisha wananchi kwa hoja mfilisi za:
Toka kushoto mbele;Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein,Makamu wa Rais Serikali ya Muungano Dk. Mohamed Ghalib Bilali,Waziri Mkuu Mizengo Kayanda Peter Pinda,na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Mh. Seif Shariff Hamad.Kushoto nyuma;Jaji Mkuu Mh. Augustino Ramadhani,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mh Anne Makinda,Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar Mh. Iddi Seif,Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano,Jaji Frederick Werema na Katibu Mkuu Kiongozi,Mh. Philemon Luhanjo.
Mbona hakuna mambo ya dini? kitu hapa sawa kwa sawa?
Chadema wanahubiri ukombozi wa mtanzania kutoka mikononi mwa uongozi dhalimu wa ccm.ila ccm haiwezi kusema inatukomboa wakati yenyewe ndiyo inatutia matatizoni.Red: Mbona hata chadema walikuwa wanaubiri ukombozi??
Wapipigwa chili ukombozi umebaki kwa safu hii :llama::llama::llama: