Mwanzoni mwa miaka ya tisini kulikua na kitabu kilichoitwa " Safari za Hatari za Akajase Mbamba ".
Though I was still a lil bow wow but still bado ninayakumbuka maudhui ya kitabu ingawa jina la mwandishi nimeliasahau...Any one who is happening to know about this book please share ur info here ..