Singa Singa
Member
- Dec 12, 2014
- 47
- 46
Andaa 4700$, Mambo mengine juu yako hakuna msosi. Saith African air ways andaa 550$. Kilakitu free hiyo nika inaenda Johannesburg.
Mbona unam mislead huyo mkuu? $ 4700 anaenda California kwa first class nini !
Singa singa nauli inategemea umefanya booking lini na siku ya safari lini, ukikata mapema sana mfano miezi miwili kabla ya safari inakuwa rahisi mno chini ya $ 300 kwenda na kurudi DAR-JOBURG ...Ukikata online hakuna badiliko lolote.
Habari nzenu wakuu
Jamani nataka kwenda Joberg S.A nimeangalia online booking zao ila nasiaki nauli wanazotangaza ni tofauti unapoenda kwenye kukata ticket,Mwenye uzoefu na safari hizi Please anipe mwankidogo
Walikucharge pesa ndogo sana mkuu. Au walikuwa wanashukia njiani?Hawa ma agent wa fastjet ni wezi sana nilikata tkt kwa agent kahama ya one way kutoka mwanza - dar ya siku hiyohiyo ikiwa ni mama na mtoto miaka 3 waka charge shs 490,000.-
Walikucharge pesa ndogo sana mkuu. Au walikuwa wanashukia njiani?
Nimetoka nayo leo dar to mwanza wame boresha kidogo
umelipia sh ngapi na tiketi umekata lini?
We remote ukitaka kalipie kwenye ofisi zao kabisa usiende kwa wakala utaumia,nimekata juzi nililipia laki na sabininatisa