Safari ya utalii Dubai

FikraNdefu

Member
Joined
Dec 22, 2014
Posts
17
Reaction score
6
Habari za jioni wanajamvi,

Poleni na majukumu ya kutafuta chumo,

Nisiwachoshe sana natarajia kusafiri kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka kwenda Dubai sehemu nitayofikia inaitwa Jumeira, sasa nilikuwa naomba kwa wenyeji na mnaoifahamu vizuri Dubai mnipe mwongozo wa sehemu nzuri za kwenda kutalii na gharama zake kama mnazifahamu.
 
Muone bwana google hahahaahhaa. Wadau wameupiga kimya huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…