Safari ya Dar es Salaam


Ungetafuta dp inayoreflect safari yako. Ili kupunguza malalamiko 'mtu mwenyewe ni tofauti na anavyoonekana kwenye dp yake'
 

Wakati mpo kwenye baiskeli umesahau kusema mlipishana na nguruwe pori,fisi pamoja na wachawi
 
naomba nikili wazi kuwa unakipaji cha kutunga na uandishi
utunzi wa ainahii mara ya mwisho niliuona kweye kitabu kinaitwa is it possible? mule ndani kuna kijana mmoja w kimasai ameelezewa na mtunzi kama ilivyo jielezea hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…