I beg to differ ,napenda mwanamke mzuri sana kwa umbo na sura ,sihitaji ushauri wake kwa sababu kiukweli najiona ni smart boy( from the neck up), pia akinizingua sioni kazi kuachana nae .
wanaume wa siku hzi wanaangalia mwanamke anafanya kazi wapi ndo wanaoa....!!!!
alafu wanapenda kulelewa ile mbaya....... ndo mana wanamegewa kila kukicha!!