jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 28, 2016 #1 Habari wadau Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi Zinapatikana kwa bei nafuu bei ni kuanzia ; 1800 1700 1600 Kwa mche Ukiwa interested ni PM
Habari wadau Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi Zinapatikana kwa bei nafuu bei ni kuanzia ; 1800 1700 1600 Kwa mche Ukiwa interested ni PM
Evarm JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,000 Reaction score 1,560 Mar 28, 2016 #2 Unauzaje kwa jumla yaani mtu akihitaji box zima? Unapatikana wapi? Mimi nipo huku madongokwinama, nitapataje?
Unauzaje kwa jumla yaani mtu akihitaji box zima? Unapatikana wapi? Mimi nipo huku madongokwinama, nitapataje?
A almamoh Member Joined Jul 12, 2015 Posts 13 Reaction score 3 Mar 29, 2016 #3 Ni vema ungeweka namba ya simu na sehemu ambayo mtu akihitaji anaweza kukupata
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 29, 2016 Thread starter #4 Evarm said: Unauzaje kwa jumla yaani mtu akihitaji box zima? Unapatikana wapi? Mimi nipo huku madongokwinama, nitapataje? Click to expand... Kwa jumla unazipata bei yake inakuwa inakuwa kama ifuatavyo kwa katoni 32000 34000 36000 Unapatikana wap mkuu nikuletee katoni ngapi? Naku pm number yangu
Evarm said: Unauzaje kwa jumla yaani mtu akihitaji box zima? Unapatikana wapi? Mimi nipo huku madongokwinama, nitapataje? Click to expand... Kwa jumla unazipata bei yake inakuwa inakuwa kama ifuatavyo kwa katoni 32000 34000 36000 Unapatikana wap mkuu nikuletee katoni ngapi? Naku pm number yangu
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 29, 2016 Thread starter #5 almamoh said: Ni vema ungeweka namba ya simu na sehemu ambayo mtu akihitaji anaweza kukupata Click to expand... Mdau ni kweli unachokisema ila inabdi nitafute lain for business hii yangu ni private but ukiihitaji naku PM no yangu tunafanya biashara napunguza njaa
almamoh said: Ni vema ungeweka namba ya simu na sehemu ambayo mtu akihitaji anaweza kukupata Click to expand... Mdau ni kweli unachokisema ila inabdi nitafute lain for business hii yangu ni private but ukiihitaji naku PM no yangu tunafanya biashara napunguza njaa
Z zamlock JF-Expert Member Joined Dec 25, 2010 Posts 3,840 Reaction score 661 Mar 29, 2016 #6 jimmyfoxxgongo said: Habari wadau Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi Zinapatikana kwa bei nafuu bei ni kuanzia ; 1800 1700 1600 Kwa mche Ukiwa interested ni PM View attachment 333001 Click to expand... Bei zako vipi nipe nikupigie
jimmyfoxxgongo said: Habari wadau Sabuni za kigoma zmetengenezwa kwa mawese Ni nzuri hazikati povu kwenye maji ya chumvi Zinapatikana kwa bei nafuu bei ni kuanzia ; 1800 1700 1600 Kwa mche Ukiwa interested ni PM View attachment 333001 Click to expand... Bei zako vipi nipe nikupigie
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 29, 2016 Thread starter #7 zamlock said: Bei zako vipi nipe nikupigie Click to expand... poapoa mkuu nimekuPM
jimmyfoxxgongo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2013 Posts 5,352 Reaction score 9,368 Mar 29, 2016 Thread starter #8 Mzigo upo wa kutosha