Sababu za China kutoisaidia Urusi

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,787
Hahahahaha thubutuuuuu, China aungane na Urusi? Labda kwa maneno.

China hawezi kuungana na Russia sababu uchumi wa chini kwa zaidi ya asilimia 70 kwenye uwekezaji unamtegemea US na Ulaya.

Hapo bado soko la china kwa Ulaya na US, chini anauza Ulaya na US zaidi ya mara 4 ya kile anachonunua yeye.

Watu wa economics wanaelewa hapo nazungumza nini. Kumbuka mwanzoni mwa vita, China alitoa madollar kwa ajili ya wahanga wa Ukraine.
 
Nikiwa njian kuelekea Manyara nikachukua ufunguo na kuuweka kweny kisimbuzi cha azam papo hapo nikahisi kichwa kizito nikajikuta nmeamka then punde si punde yule jamaa akaja[emoji849][emoji849]
 
Na wewe kibiashara lazima
una maanisha nn?

naona USA na UK wana mtegemea Ukraine ili wafanye biashara... hivyo marekani ana tawaliwa au mkoloni wake, au ni kibalaka wa Ukraine...
 
Kwani officially Moscow imeomba msaada wa vita China?

Na kwa sababu zipi unafikiri China asaidie hiyo vita?

Kwa namna yoyote kauli yako haipo sawa. Its a new fact, bring an empirical source.
 
... he/she is wrong! The real parties to that conflict are Putin against the civilized world! His barbaric actions should come to an end now!
Nawaona civilised presidents hapo.
 
Kwa akili zako Russia wanataka msaada wowote kivita toka china!?acha uboya!
 
Unataka msaada gani? maana China yuko neutral siku zote, lakin hata kauli zake ni msaada kwa Urusi
 
una maanisha nn?

naona USA na UK wana mtegemea Ukraine ili wafanye biashara... hivyo marekani ana tawaliwa au mkoloni wake, au ni kibalaka wa Ukraine...
hiyo umejitungia mkuu
 
ila tunalazimisha uteam kiba na utimu mond kuwa ukimponda mmoja bas mponde na mwingine ili usionekane una team ila kiukweli Urusi ndo mwenye kosa kwa kuvamia Ukraine , asingevamia hakuna lingetokea , cha pili Urusi anawasapoti Korea kuunda nyuklia je Ukraine wakidai ni hatari kwao itakuwa sawa ? so Urusi ajifunze kuheshimu mamlaka za ndani za nchi nyingine km wanavyoheshimu mamlaka yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…