Si Lowasa wala Membe sijawahi kuwasikia Bungeni au mitaani wakikemea ufisadi…Sasa umakini wao mbona siuoni??Swala la IPTL Membe sikumsikia, wala Lowasa labda ni Kigwalagwala tu niliomsikia…sasa mtanihakikishiaje kuwa hawa mafisadi watawatetea wanyonge?? CCM hawana mtu msafi jamani..CCM wanachoangalia nani kachafuka kidogo kusudi wampe go ahead ya kugombea uraisi