saa babkubwa

makubazi

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2013
Posts
2,047
Reaction score
365
Toa maoni yako kuhusu hii saa
 

Attachments

  • 20140819_201723.jpg
    121.3 KB · Views: 384
sasa hii saa utaivaaje haina mkanda au ni saa ya mezani? Au ndio kama zile za kina babu zakuweka mfukoni
 
Tunakwenda na wakati vile vya zamani vina rudi na hata ukiwa unatimbea nayo mitani ndo itakuwa feshin mpya kama wale jamaa na feshin yao ya suruwali kuivalia kifuwani na mkanda wake wa suruwali wapo mita ani ao bado kuwaona basi vuta subira utawaona sawa mbunge
 
Na mimi ngoja nipige picha mapazia yangu mseme kama ni mazuri...
 
Kona ya mpiga picha imesababisha hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…