time24store
Member
- Jan 18, 2017
- 11
- 0
Ina warrant ya mwaka mmoja.warrant yake ikoje?
Unahitaji info gan mkuu,niambie nikuwekeeTuwekee info kuhusu hio Mambo
Mbona umeshangaa[emoji15]What
Water proof???Unahitaji info gan mkuu,niambie nikuwekee
Yes,ila sio kwa kuogelea nayo,ni kumwagikiwa maji kawaida au mvua.Water proof???
OKYes,ila sio kwa kuogelea nayo,ni kumwagikiwa maji kawaida au mvua.
Karibu sana.
mimi....nataka za wale...wasanii wetu...Ukileta za NavyKenzo utaniambia.
Hii ni water resistance Then.Yes,ila sio kwa kuogelea nayo,ni kumwagikiwa maji kawaida au mvua.
Yes mkuu, Karibu sanaHii ni water resistance Then.