s60v3 games with high quality graphics

Chief-Mkwawa

Platinum Member
Joined
May 25, 2011
Posts
32,262
Reaction score
44,385
hey nokia lovers kama mnavojua siku hizi developers wengi hawatengenezi games za s60v3 lakini still asian black market ipo game zinaendelea kutengenezwa.

Ntapost games hapa na kuangalia kama kuna wapenzi then ntapost zengine, hizi game ni playstation games ambazo zimekua moded kuja symbian

pandemonium
Nice game lenye quality graphic angalia screenshot





hizi hapa link za game
part 1
http://www.plunder.com/pandemonium1-download-25f07c7263.htm

Part2
http://www.plunder.com/pandemonium2-download-8d29af54d8.htm

Part3
http://www.plunder.com/pandemonium3-download-24ff8064d9.htm


brother in arms 3d

Hollwood block buster nice shooting game, unacheza kama soldier wa kimarekani, unatua katika jangwa africa majeshi kibao unatakiwa uyaue, doctor umuokoe na mengine mengi. Angalia screen shot




Kudownload click link hapo chini

waper.ru/file/1579432
 
Pamoja mkuu, ngoja niifanyie kazi hiyo ya brother in arms 3d, kama nitakwama sehemu nitarudi kwako.
 


they are nice games, i have played them!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…