Sasa ngoja nikupe ujanja,,siku nyingine usiuziwe samsung feki tumia njia hii ambayo ni ya uhakika. Bonyeza *#0*#, itatokea LCD screen test,kisha chagua sehemu imeandikwa sensor ifungue,ikishafunguka weka simu juu ya meza au hata chini halafu pitisha mkono wako kwa juu ya screen ya simu, usiguse kioo kwa juu tu, ukiona simu inasense mkono wako na kuvibrate ujue hiyo ni orijino, clone zote hazina sensa kali kama hiyo. Thats only simple way ya kugundua clones za samsung