Hujafafanua ikionyesha alama hizo ulizozitaja ni original au fakekaka kwani kuangalia hujui mm ntakuonyesha fanya hivi kwa samsung zote kubwa kubwa.bonyeza *#0*# hapo kuna menu itatokea hapo bonyeza "sensor"pale utapitisha mkono kushoto na kulia ktk kioo cha simu kuna rangi huwa zinatokea huku simu inatoa vibaration.usiogope
nauza galaxy s4 new from dubai full ktk box lake.tshs 760k.ntafte 0659626782