Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 808
- 2,152
Simu S3 neo inauzwa. Bei lak 3.. Mahali nilipo Mbeya.Ina miezi 8 tangu inunuliwe.Ipo katika hali nzuri. Kwa mawasiano 0714233936
Achah!kabisa mimi nina S5 in a miez2 imebuma namsikia mmtu kwa mbali sana mmpaka loud speaker cha ajabu haitengenezeki presha ilinipanda nilijikaza lime sasa nimezoeaHii simu ilitakaga kunipa wazimu!
Niliipenda sana ilipoharibika mbona nilikonda?
Simu nzuri sana.
Si bora wewe bado inapiga mzigo?Mimi ilikufa kabisa.Achah!kabisa mimi nina S5 in a miez2 imebuma namsikia mmtu kwa mbali sana mmpaka loud speaker cha ajabu haitengenezeki presha ilinipanda nilijikaza lime sasa nimezoea
Achah!kabisa mimi nina S5 in a miez2 imebuma namsikia mmtu kwa mbali sana mmpaka loud speaker cha ajabu haitengenezeki presha ilinipanda nilijikaza lime sasa nimezoea
Mshachafua hali ya hewa hapa, sijui kama biashara jamaa ataifanya.Si bora wewe bado inapiga mzigo?Mimi ilikufa kabisa.
Ilikuwa mwaka jana mwezi kama huu...nilitadataaa!
Hapana, simu kuharibika sio kwamba ni zote hazifai.Mshachafua hali ya hewa hapa, sijui kama biashara jamaa ataifanya.
Fanyeni reputation kwa mdau!
Heeee una samsungHapana, simu kuharibika sio kwamba ni zote hazifai.
Mbona bado natumia kampuni ya Samsung pamoja na janga hilo lililonipata?
Wewe ulidhani nina nini?Heeee una samsung
Just joking nifahWewe ulidhani nina nini?
Just joking nifah

Whenever I go you go this show how much you love me..Hii simu ilitakaga kunipa wazimu!
Niliipenda sana ilipoharibika mbona nilikonda?
Simu nzuri sana.
Whenever I go you go this show how much you love me..



Kila ninacho kipenda unakipenda kila thread ninayoenda unaenda..wao what a love you have
Whatchu mean?
Kila ninacho kipenda unakipenda kila thread ninayoenda unaenda..wao what a love you have


