swali langu title ya hii thread na habari iliyomo vina uhusiano gani???
tuhuma nzito kakufungulia nenda kacheki afya yako yawezekana hakuwa mzima ndo mana kafungua kesi iyo akiwa na uhakika na madai yake pole sana mkuu
kakushika Pazuri kweli, ndio adhabu ya umalaya hiyo mkuu pambana,lakini pole kidume mwenzangu
Hahaaaa alilikoroga mwenyewe muache alinywe.............
ni kweli ana mimba aliwahi kukudokeza kabla!!!!!!!!!
kweli leo nimejua kwanini serikali inakataza watu wasivute bangi.zanz sio nzuri kwa afya yako vinyaji viko vingi hata juice ya pera naya ni swagg