Hizo infrastructure za Mawasiliano kuanzia mkongo wa Taifa ambao hadi Rwanda Inautumia na mabarabara ya lami nchi nzima kajenga mama yako au serikali ya Kikwete?
Sisi badala ya kufanya hivyo kugharamia miradi mikubwa tunawabembeleza matapeli kuja kuwekeza Tanzania na tunaishia kuibiwa
..how about gati mbili za bandari ya Dsm ambapo waziri na naibu wake walikuwa wanagombea rushwa?
..how about reli ya kwenda burundi na rwanda ambayo tulishasaini mou lakini tumesuasua mpaka Rwanda wameamua kujitoa ktk mradi?
..ndiyo maana nasema kama tunataka ku-finance miradi ya infrastructure kwa kutumia bonds ni vizuri tukasubiri mpaka tutakapokuwa na utawala ambao ni makini na aggressive kuliko huu tulionao.
cc JustDoItNow
..how about reli ya kwenda burundi na rwanda ambayo tulishasaini mou lakini tumesuasua mpaka Rwanda wameamua kujitoa ktk mradi?
..ukisha-issue hiyo bond ukasema fedha ni kwa ajili ya project fulani, tayari time will be ticking on you kuhusu kumaliza project on time, kupata faida kutokana na mradi, na kuanza kurudisha fedha za watu.
..binafsi sidhani tunaweza kumuamini JK na utawala wake ku-finance any major infrastructure project kwa mtindo huu wanaotaka kutumia Rwanda.
..Sababu zangu ni kwamba utawala wa JK uko too sluggish ktk utekelezaji, na wanaendekeza sana rushwa. Mnaweza kushtukia bond imeshafikia nusu ya maturation time wakati bado JK and his cronies wanapiga dana-dana za ten percent zao.
cc MUKAMASIMBA, Happy Feet, Fx Trader
what you guys fail to get into you membrane is that our president is not here to please you foreigners...yuko kwa maslahi yetu sisi tu wananchi tulio ndani ya mipaka ya rwanda.
Wajitoe tu, ile MOU tulikuwa na haki ya kusuasua na wala hatuna haraka.Utatumbukizaje hela kujenga reli kwenye nchi ambazo zina makundi ya waasi? Mwaweza jenga leo kesho ukasikia waasi wa Rwanda au burundi wamepiga makombora reli.
Tunasubiri hali ya amani ya uhakika iweko burundi na Rwanda ndipo tunaweza tumbukiza pesa zetu hivi hivi hamna ndio maana tukasema wamalizane na waasi nchini mwao ili kuwe na uhakika wa vitega uchumi vikiwemo vya reli tutakavyoingia nao.Hizi nchi mbili bado ni risky kwa miradi kama ya miundombinu ya reli.
Seconded.
huyu masikini wa musoga hana nidhamu ya pesa, na ni limbukeni, rais wa nchi anatembea na maburungutu ya US$, yaani ukikutana nae ukampiga mzinga, unapewa dorali.
JokaKuu tunawaulumu majirani bure. Sisi wenyewe ni tatizo...lakini kipande kirefu zaidi cha reli hiyo kiko Tanzania na kingehudumia wa-Tanzania.
..au unataka kusema Dodoma, Mwanza, Shinyanga, Tabora, etc etc ambako reli hiyo inapita napo kuna waasi?
..halafu kuna suala la bandari ya Bagamoyo. hebu jiulize tangu Raisi wa China aje Tanzania na kusaini mkataba mpaka leo ni muda kiasi gani umepita? sisi tunapenda kujisifia kusaini mikataba na kuikalia, siyo kuchapa kazi na kuzindua miradi ya maendeleo.
..look at how fast Kenyans are acting? wenzetu walianza kutafuta fedha za Mchina baada yetu, lakini sasa hivi wameshaanza ujenzi wa reli, bandari mpya ya Lamu, na zaidi wanaimarisha bandari ya Mombasa.
..sasa kama tungekuwa tume-issue euro bond kwa mradi wa bandari ya bagamoyo maana yake ni kwamba time will be ticking on us tutekeleze mradi.
cc
what you guys fail to get into you membrane is that our president is not here to please you foreigners...yuko kwa maslahi yetu sisi tu wananchi tulio ndani ya mipaka ya rwanda.
Sasa mnavyoanzisha uzi/thread kama hii mnataka nini kama sio mjadala toka kwa wa TZ...au mnadhani kuna mnunuzi wa bond humu?
Ukileta uzi hapa jua wachangiaji 99% ni wabongo...
Else kapost kwenye blog za wanyarwanda mjadili wenyewe kwa wenyewe...sisi hayatuhusu...
Ndio maana ikaitwa international forum,na JF sio mali yako na haiitaji your fake azz patriotism,kelele tuu kumbe hata kuchangia JF hujawahi