Rwanda: President’s Son moves in a lavish mansion in Beverly Hills

Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.
Hahaha..
Kule DRC anateka mapori na kupora madini, magogo..
 
Ana kiburi sana, kuna kipindi alifikia hatua ya kumpiga mkwara JK.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kagame hakumpiga mkwara Mkwere ila alimwambia ukweli kuwa" KAMA RWANDA INGEKUWA NA BANDARI KAMA DAR ES SALAAM WASINGEKUWA WANAOMBA MISAADA TOKA NJE". Mkwere ukweli huu akaona kama vile ametukanwa akafura!!!! Wakati huo mkwere na wabia wake HOME SHOPPING CENTRE ndio wanapitisha makontena kwa maelfu bila kulipa kodi!!!
 
Kagame aliwahi kusema "MTU KAMA KIKWETE NI WAKUNGOJA MUDA SAHIHI KISHA UNAMPIGA", tena alisema haya wakati anahutubia wanafunzi wa chuo cha jeshi. Hii kauli alitoa baada ya Kikwete kutoa ushauri wa kidiplomasia ambapo kagame hakuupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kiingereza changu kibovu au chakwenu ndio kibovu? Huyu jamaa amenunua au anapanga?nisaidie!
 
Wanyarwanda hawawezi kuumia kwakua wanajua hizo hela sio zao bali ni zile kagame alijipatia kongo, tofauti ya kagame na viongozi wetu yeye anaiba nje kuleta nyumbani ila wa hapa kwetu wanaiba ndani kupeleka nje.
Hahahahaaaaa!
Kuzaliwa tz ni raha sana, naona mwamba hapa amemwaga point!
 
Hivi kwanini Rwanda anasumbua akili katika huu ukanda kiasi hiki?
Hasumbui akili ya mtu..ni nyie ndio mnazichosha akil zenu kwa kujisumbua na utarayibu wa maisha yake!! Anasumbua kwa lip kwamfano? Au anamsumbua nani?? Utaskia Congo...sasa wewe umekua kongo?? Au Congo ndio ukanda huu (kwa mujibu wa maelezo yako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…