Hivi the Statesman ni gazeti la Nchi gani? Merikani jana kusema PK term mbili mwisho, sasa ndio mnakuja na ujanja janja wenu wa kisanii kupitia media!! Kweli kajitahidi kwenye nyanja fulani fulani lakini yaliyo mengi mnaweka chumvi mno, si hajabu kesho mkaja na adithi kwamba Rwanda finally imefanikiwa kuhunda Quatum Computers - mnafanya kila mbinu kutaka kuhadaa Dunia kwamba akitoka tu madarakani basi Rwanda itarudi back 2 square one.