mchambawima1
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 2,487
- 738
Tatizo lenu fedha nyingi mnazitumia kununua silaha na kujingiza kwenye adventures zisizo kuwa na kichwa wala miguu, hivi kuna mantiki gani kuwaleta waholanzi ili wawafundishe kujali owatoto wenu kiafya, ina maana hamjui ku-fortify vyakula vya watoto wenu? Mnakimbiza ng'ombe wenu kuja mkoani Kagera na kutuharibia mazingira - maziwa mnahuza Mkoani Kagera wanafaidi watani zenu Wahaya nyinyi mnasahau watoto wenu huko Rwanda!!
Yaani taarifa yote ulikuwa unamlenga mtu mmoja tu namely jMaji - Je, wewe binafsi una tatizo gani na Mkuu jMaji - unafikiri ukimsifia PK kwa kuwaleta Waholanzi kuwasaidieni/kumbusha umuhimu wa kuwajali watoto wenu kwa kuwapatia maziwa, hivi kweli mnafikiri hilo tu linaweza kubadirisha mawazo ya Wanyarwanda wanao mpinga PK hasiwanie term ya tatu? I dont think so 'am afraid (UTANI).
kwani kaandika point gani? hebu nisaidie! jMali, hivi ni ushabiki au kweli hauoni pumba alizo ongea huyo mzushi mwenzako? yani tusifurahie kupata investors? tena company kubwa kama DSM? kujikita kwako kwenye siasa za ubaguzi zitakufanya usahau mengi... kumbuka ya kwamba hili swala niliwahi kukudokozea na kwa taarifa yako East Africa yote itakuwa inaagiza kutoka Rwanda, hadi pale watoto wetu watakapo hepukana na maradhi ya utapia mlo!Katika pointi zote alizoandika mkuu hapo, we umefurahi kwa sababu jmali kakosewa kuandikwa? Ni hilo tu ndio umeona?
kwani kaandika point gani? hebu nisaidie! jMali, hivi ni ushabiki au kweli hauoni pumba alizo ongea huyo mzushi mwenzako? yani tusifurahie kupata investors? tena company kubwa kama DSM? kujikita kwako kwenye siasa za ubaguzi zitakufanya usahau mengi... kumbuka ya kwamba hili swala niliwahi kukudokozea na kwa taarifa yako East Africa yote itakuwa inaagiza kutoka Rwanda, hadi pale watoto wetu watakapo hepukana na maradhi ya utapia mlo!
Kwa viwanda vya chakula kama cha Bakhressa grain milling? Okay basi sawa.
Kweli chuki ni dhambi mbaya mno kwa anaechukia. Yaani wewe unaugua vidonda vya tumbo ili hali unaemchukia kwanza hakujui, hajui kuwa una exist halafu yeye wala hana habari....anachanja mbuga. Mimi huwa naku analyze lakini sipati picha wewe ni mtu wa aina gani.
ni mnafiki... yani ni kama huyu hapaKweli chuki ni dhambi mbaya mno kwa anaechukia. Yaani wewe unaugua vidonda vya tumbo ili hali unaemchukia kwanza hakujui, hajui kuwa una exist halafu yeye wala hana habari....anachanja mbuga. Mimi huwa naku analyze lakini sipati picha wewe ni mtu wa aina gani.
Nyie ndio kila siku mnanitukana mpaka sometimes naamua kuomba po kujadiliana na nyinyi. Nyinyi ndio huwa mnaniita interahamwe na maneno mengine ya kuudhi, wewe sometimes unasema mpaka mimi nakaa msituni! sijawahi kuwaita maneno hata siku moja kabla nyinyi hamjaniita hivyo. All the time nikiwaita majina huwa ni defense baada ya nyinyi kunishambulia kwa matusi yenu. Chuki anayo nani hapa?
Sasa turudi kwenye hoja. Its very simple. Wewe unadai Rwanda itailisha Tanzania, mimi nimekuonyesha kuwa anayewalisha ugali huko Rwanda sasa hivi ni kampuni ya Bakhressa grain milling (Azam). Sasa hapo chuki iko wapi ndugu yangu mbona hueleweki? Nyie kutulisha sisi ni ndoto za alinacha.
Kuitwa interahamwe sio tusi coz i'm sure its a badge of honor to you.
Really? And you call me hateful?