He, kumbe kwenye utengenezaji wa Kondom tuko makini kiasi nchi za jirani wanategemea mitambo na teknolojia yetu?...huh!
Ingekuwa na kwenye mambo mengine ya uvumbuzi na utafiti tuko makini kwa kiasi hicho naona tungekuwa mbali...!
Lakini kwenye CONDOM....MHHH!!!! Haya bana! ...Hongereni WaTanzania!