Tukubali kujifunza mema, mabaya yao waachieni, it's really challenging! Viongozi wetu ni domo na kutafuna mahela. Eti hapa Morogoro road, kutoka ferry ni vumbi tupu hakuna cha pavements wala nini, karibu na ofisi nyeti za umma, yaani Sebule ya nchi. Hii si aibu jamani, no no bongo ni aibu tupu!!! We need to change! Hata kama Rwanda inaiba Congo, sidhani kama hicho kiasi ndicho kinafanya mambo yote hayo!