chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,832 Reaction score 29,511 Jan 14, 2016 #1 Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Mbangamawe, kata ya Gumbiro, wilayani Songea kwa tuhuma ya kukutwa akiuza nyama ya mbwa na kwamba kuna baadhi ya wateja wake wamekula bila kujua…” Chanzo:EATV
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mkazi wa kijiji cha Mbangamawe, kata ya Gumbiro, wilayani Songea kwa tuhuma ya kukutwa akiuza nyama ya mbwa na kwamba kuna baadhi ya wateja wake wamekula bila kujua…” Chanzo:EATV
Angel Msoffe JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 6,781 Reaction score 1,658 Jan 14, 2016 #2 Iringa ni kitowewo kitamu kuliko mbuzi
K kinauche JF-Expert Member Joined Oct 17, 2012 Posts 7,681 Reaction score 2,219 Jan 14, 2016 #3 Kwani nyama ya mbwa imepigwa marufuju hata wakamatwe?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,451 Reaction score 122,719 Jan 14, 2016 #4 Walijuaje kama anauza nyama ya Mbwa mpaka wakamkamata?
G Guasa Ambonii JF-Expert Member Joined Aug 13, 2015 Posts 8,545 Reaction score 10,305 Jan 15, 2016 #5 Duh!wakina tembo,komba na ngonyani wamekula mbwa!
EMMYGUY JF-Expert Member Joined Aug 6, 2015 Posts 11,194 Reaction score 25,535 Jan 15, 2016 #6 Huyo jamaa wampeleke Mahakamani, maana mpaka kufikia kumkamata alishauza nyama ya mbwa zaidi ya mara ngapi.
Huyo jamaa wampeleke Mahakamani, maana mpaka kufikia kumkamata alishauza nyama ya mbwa zaidi ya mara ngapi.