Mikutano kuwa na watu wengi sio kigezo cha kukubalika kwa Mgombea, kila mtu anakuja mikutano I kwasababu zake,wapo wanaotaka kumuona tu,wapo wanaokuja ili kusikia anasema nini makusudi walinganishe sera zake na zile za wenzie,wapo wanaokuja ili kum enjoy tu,wapo pia wanaokuja mkutanoni km kuiga mkumbo tu.