Russian General Staff: US radars controls almost whole Russia

Hahaaa hawajui hao halafu kwa sasa Russia anawekeza sana kwenye Nyambizi make hizo ndo siraha hatari kabisa achana na biashara ya ndege, Nyambizi inaweza kuja kimya kimya na kuibukia pwani na kupiga na kutokomea.
Rada kitu gani?
Kuna rada adi za chini ya maji
Japo kutengeneza stealth yake ni rahisi mno mkuu
 
Of course mkuu,,,,,Jetfighters ni za kuwanyanyasia masikini tu siku hizi.

Submarines are very effective in our era.Hizo ndege zilifuaga dafu Vietnam.

Maana submarine ikiwa invisible ni invisible kweli.
Aircraft carriers nyingi huua nyambizi kirahisi
 
Kwan mmarekani hana submarines
Insue ni kuwa wanavyoongelea aircraft cariers ni jeshi zima
Yaan kuna ndege za kivita apoapo
Kuna meri nyingine za kivita nyingi2(destroyers)
Kuna submarines nazo
Na anti missile deffensive system
 
Insue ni kuwa kabla ya f22 kulikuwa na f15 ambayo mpaka leo haijawahi kuangushwa na ndege yoyote ile adi ikatunukiwa jina la Mig-killer
Je f22 ambayo uwezo wake ni kama f15 arobaini inakuaje
Ikumbukwe zimekatazwa kutolewa nje ya US
 
Insue ni kuwa kabla ya f22 kulikuwa na f15 ambayo mpaka leo haijawahi kuangushwa na ndege yoyote ile adi ikatunukiwa jina la Mig-killer
Je f22 ambayo uwezo wake ni kama f15 arobaini inakuaje
Ikumbukwe zimekatazwa kutolewa nje ya US
F22 Hazijawahi kuangushwa maana hawajawahi kupigana vita na taifa lilo na balance power.Huwa zinatumika dhidi ya mataifa madogo tena baada ya kuzipunguza makali nchi izo mfano Irak waliambiwa wabomoe silaha ndo wakavamiwa zile MIG dhaifu siyo latest.Hebu tupe mfano ni wapi ziliangusha MIG zikapata ilo jina.Ndege nyingi za kisasa za mataifa makubwa kivita hazijawai kuangushwa maana hazijawai ku-engage kwenye full scale war mfano MIG 31,SU-27,Mirrage.
 
Kwan mmarekani hana submarines
Insue ni kuwa wanavyoongelea aircraft cariers ni jeshi zima
Yaan kuna ndege za kivita apoapo
Kuna meri nyingine za kivita nyingi2(destroyers)
Kuna submarines nazo
Na anti missile deffensive system
Watu wasichojua ni kwamba aircraft carriers za US huwa haziwi peke yake zikiwa kwenye mission yoyote ile. Huwa zinasindikizwa na destroyers ambazo zina powerful radars kwa ajili ya kudetect vitu km ant ship missiles, ballistic missiles,torpedoes, etc.
Pia ndani yake kunakua na ndege maalum kwa ajili ya kutafuta submarines mfano, P-8 Poseidon, kuna ndege km E2D Hawkeye hii inauwezo wa kudetect missiles km hzo ant ship sijui umbali wa zaid ya 630miles.
Hyo ndo E2D Hawkeyes

Pia huwa zinasindikizwa na Submarines. Yani kiufupi aircraft carrier inakua km jeshi kamili limejikmilisha.



Hyo ndo P-8 Poseidon.

Bila kuisahau EA-18g Growler kwa ajili ya KuJam enemy Radars.

Plus F35 stealth jet.
 
Alafu mkuu,ze kokuyo naomba unidadavulie tofauti ya thaad na s 300,s 400
 
Siyo kweli Warusi wako vizuri sana kwa uhakika Intercontinental ballistic missiles kuhit target .kwa marekani . General huyo wa kirusi atakuwa diffector anaetafuta kick kwa wamarekani
Technogia zinabadilika mkuu na zinahitaji uwekezaji ,kuwekeza technogia mpya.Russia hawana hiyo cash ya kuCompete na nchi km US.Huyo jamaa ni mkweli.
 
Alafu mkuu,ze kokuyo naomba unidadavulie tofauti ya thaad na s 300,s 400
Sidhan km zina tofaut kubwa sana
THAAD
•Ina uwezo wa kudungua kombora mpk umbali wa 200km
•Huku ikiwa na uwezo wa kutungua kombora hilo urefu(height) mpk wa 150km
•Makombora ya THAAD speed yake ni Mach 8+
•Inatumia teknolojia ya Hit to kill yaan kombora lake halitumii mlipuko kuharibu kombora lingine Bali kinetic energy
•Inaweza kutungua kombora likiwa kwenye Terminal phase
•Radar yake ina uwezo wa kuona umbali wa zaid ya 2000km
•Uwezo wake ni kutungua makombora yakiwa ndani ya dunia au nje ya dunia
•Mfumo huu ni highly mobile yaan usafirishaj wake ni rahic na haraka
•THAAD has a 100% mission success rate(wakati wa tests haijawahi kufeli kwenye majaribio yote 13 ilifanikiwa kutungua kila target kwa ufasaha)

°S 300
•Range 100-200km(ila kuna versions mpya km S300V yenyewe mpk 300km)
•Speed : Mach 3-4+
•Radar yake inaweza kuCover mpk 500-1000km

*S400
•Range 400km
•Speed Mach 4+
•Radar coverage 3500km
•
 
Alafu mkuu,ze kokuyo naomba unidadavulie tofauti ya thaad na s 300,s 400
Kakuelezea vizuri lkn nilitaka kuongezea kuwa THAAD missele defensive system yaan imeundwa special kutungua mabom ya ballistic missels mfano nuclear bombs
Uku s300 na s400 zimeundwa special kutungua ndege na missele za short range
 
Asante mkuu ze kokuyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…