mkuu umesahau vichwa vya nyuklia,mrusi yuko poa kuliko m-usa
lete ushahidi kuwa mrusi anamzidi mmarekani kwenye nukes.
This is international forum. We learn about others and how we can use their knowledge/tech ......nyie leteni nyuzi zenye mawazo na majadiliano lini tutatoka katika janga la umasikini - hizi theory za nani ana nguvu kuliko mwingine hazina faida.
Russia will never be able to battle USA. Maybe when it was USSR..., guess what, USSR is dead.Kwa hiyo ndio nini hapo ulichokileta una uhakika gani wa hayo au ndio chokochoko ku ignore Russia kama wapo weak basi anzisheni nao battle kama mlivyofanya kwa sadamu ili tuone huo uimara wenu
Your level is JKT, you can not compare with a person who was a Marine Corp.ngojeni niwaambie#ishmael
kaja kivingine baada ya kuona post zake hazina wasomaji yeye kaamua kuleta za urusi na usa
ameiga post ile ya usa are not able to overcome s-300
jambo km hulijui waachie wajuz maana c levo yako
It is an immigrant nation.Watanzania bana kaaaaazi kweli kweli. Mwarabu katawala kidogo zanzibar nchi nzima wamekuwa waarabu mijitu mingine meusi tii lakini bado wanadai waarabu. Hawa wabeba box kila kukicha wao na marekani tuu utafikiri ndio wenye nchi kumbe makanyaboya tuu. Ukiwakaribisha kidogo tuu tayari washakuwa wenyeji na wajuaji wa kila kitu. Kweli wenye ngozi za nyani ni laana
Your level is JKT, you can not compare with a person who was a Marine Corp.
This is international forum. We learn about others and how we can use their knowledge/tech ......