Russia war commander admits Kherson situation ‘very difficult’

Jibu swali Acha kuongea Pumba eneo Gani wanajeshi wa Russia wamezungukwa?
 
Acha uongo Lete source siku nyingine kama huna information ya kweli usinijibu
 
Unajitahid kuwapa information Hawa mazombi japo wanakaza shingo ., lakini mwisho wataelewa kwa lazima tu


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
ENDELEENI KUSHABIKIA RUSSIA IKILIPUA SHULE, HOSPITAL, MABEMBEA YA WATOTO WAKATI UKRAINE ANAZIDI KUIPA KIPONDO RUSSIA FRONT LINE

Russian forces have been driven back by an ongoing Ukrainian offensive and
Your browser is not able to display this video.

 
Wanaondoa civilians just because wana intelligence kwamba ukraine wanataka kulipua kankhovic hydroelectric power dam,, jambo ambalo litapelekea mafuriko yatakayoua maelfu ya raia,, ndo maana wamefungulia spillage za bwawa ili kupunguza madhara endapo kweli bwawa litalipuliwa na kusababisha mafuriko,
 
Putin ana tabia za kike za wivu. Anafikiri anaweza akawakomoa mamilioni ya wazungu na ndio wanapata akili ya kuvumbua mbinu za kuishi apa duniani
 
Putin ana tabia za kike za wivu. Anafikiri anaweza akawakomoa mamilioni ya wazungu na ndio wanapata akili ya kuvumbua mbinu za kuishi apa duniani
Ni ngumu kupata mbinu mbadala kwaharaka, hata PM wa UK kajiuzulu kwa ajili ya matatizo ya uchumi yaliyoletwa na vita,, huko ufaransa, italy, germany wanaandamana, huko marekani Biden akizubaa kwenye uchaguzi wa midterm November anaweza kuambulia mabua😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…