Russia has made progress on materials for hypersonic planes to launch nuclear attacks from space

Kama wao wanajiona wanauchumi mkubwa kuliko Urusi watalalamika kushindwa kutengeneza Wao
 
Ndugu yangu sio kwamba marekani anapenda kutegemea injini za urusi, na wala tatizo siyo gharama za kutengeneza hizo injini, marekani kwa muda mrefu amekuwa akihangaika kutengeneza lakini kila akifanya majaribio anafeli, juzi hapa walijipa uhakika wakijua wameweza na wakaanza kusema wakatishe mkataba wa kununua hizo injini urusi walipojaribu tu dubwana lao likalipuka. Kuna technolojia nyingi za anga urusi kawazidi wamarekani mbali sana
 
Kufeli kwenye technology ni jambo la kawaida sana ht THAAD wkt IPO kwenye majaribio ilifeli Mara kibao had ikataka iwe cancelled lkn sasa hv ni one of the most capable air defence in the world.
 
Kufeli kwenye technology ni jambo la kawaida sana ht THAAD wkt IPO kwenye majaribio ilifeli Mara kibao had ikataka iwe cancelled lkn sasa hv ni one of the most capable air defence in the world.
ndugu yangu hapo tulikuwa hatuongelei THAAD, hapo nilikuwa namjibu mtu ambaye alisema kuwa marekani anashidwa kutengeneza engine kwasababu ya gharama kubwa sababu ambayo niliikataa kwa kumwambia tatizo siyo pesa tatizo anafeli kila anapojaribu kutengeneza.
 
Embu katafute"cannae drive" ya NASA uione.... Nmekutolea mfano kwamba kwenye teknolojia yyte ile kufeli ni jambo la kawaida sana hta hao akina Isaac Newton walifeli lkn baadae wakaleta matokeo chanya.... Na sasa hv US wanadevelop 3-D printed rockets ili kuacha kutegemea hzo za Russia RD-180...Ila kwenye mambo ya rocket US yupo nyuma kidogo ya Russia km tunavyojua hakuna nchi iliyojitosheleza kila kitu maana ht kwenye stealth technology US yupo mbele ya Russia na China coz kaanza kuitumia from 1980's wakt Russia na China ndo wanahangaika nayo kipind hiki
 

Attachments

  • Screenshot_2016-10-24-19-52-08.png
    77.6 KB · Views: 38
  • Screenshot_2016-10-24-19-52-33.png
    56.4 KB · Views: 38
  • Screenshot_2016-10-24-19-53-15.png
    56.5 KB · Views: 38
  • Screenshot_2016-10-24-19-53-30.png
    56.4 KB · Views: 41
kaka mi sijabisha kuhusu kufeli,kweli hicho ni kitu cha kawaida....mimi nilikuwa namjibu mtu ambaye alisema kuwa marekani hawezi kutengeneza ingine kwasababu ya gharama.....mimi nikawa namuelimisha kuwa sababu sio gharama sababu bado hajaweza kufanikiwa kwenye mpango wake wa kutengeneza hizo ingine...sasa wewe nafikiri hujasoma tulikuwa unaongelea nini... lakini nashukuru umezidi kuniaongezea maarifa
 
russia wanajitahidi japokua kauchumi kao hakafikii hata ule wa jimbo la california...ila na wao wanajitutumua jamani
 
Gharama sio tatizo mbona walitengeneza wakaiweka kwenye Antares na ikalipuka, shida sio gharama, shida utaalamu
 
S500 missile USA wanayo?
 
S500 missile USA wanayo?
Kichwa kibovo kweli wewe.USA watamiliki vipi SAM za Russia?....Nachosema hapa ni counter ya silaha mbalimbali ambazo russia anatengeneza US alishakuwa na silaha kama izo kitambo...
Ivi shuleni ulienda kusomea ujinga?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…