'Rushwa ya viroba'

A Preacher

Member
Joined
Jul 14, 2011
Posts
62
Reaction score
23
Arusha kata ya Unga ltd mtaa wa Migungani, vijana wa bodaboda wamepewa 'viroba' kibao na vijana wamevalia sare za ccm, sasa vijana wameshindwa kufanya kazi yao ya bodaboda wamelewa, yani ni shida...
 
duh ccm wana mbinu za kipuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…